OUR VISION

ONE ARMY: We see a God-raised, Spirit-filled Army for the 21st century - convinced of our calling, moving forward together

ONE MISSION: Into the world of the hurting, broken, lonely, dispossessed and lost, reaching them in love by all means

 ONE MESSAGE: With the transforming message of Jesus, bringing freedom, hope and life


JESHI MOJA: Tunaliona ni Jeshi linalomwinua Mungu na Kujazwa na Roho katika Karne ya 21 – tukijisadikisha na wito wetu, Twende Mbele Pamoja.

Tuta...
- zama ndani zaidi katika maisha yetu ya Kiroho
- ungana kwa Maombi
- watambua na kuwaendeleza viongozi
- ongeza hali ya kijitegemea na kujinyima

MISHENI MOJA: Katika ulimwengu wa watesekao, waliokata tamaa, wapweke, walioporwa na kupoteza, kuwa­kia kwa Upendo kwa njia yoyote ile

Tuta...
- sisitiza huduma yetu ya mchangamano
- wa­kia na kuwahusisha Vijana na watoto
- watetea na kuwahuduma wasiojiweza
- kutia moyo uvumbuzi katika Misheni

UJUMBE MMOJA: Kwa ujumbe wa Yesu wenye kufanya Mabadiliko, unaoleta uhuru, tumaini na uzima

Tuta...
- mwasilisha Kristo bila aibu
- thibitisha imani yetu katika mabadiliko
- fanya uinjilisti na ufuasi kwa mafanikio
- toa nyezo bora za kufundishia